Kabla ya siku kuanza
Kabla hujaenda kitandani
Kabla hujaenda kazini au shuleni
Kabla hujatuma huo ujumbe
Katika kila hali
Omba kwanza
Inahusu kuzungumza na Mungu.
Ni kweli hakuna usanii au uzoefu kwenye maombi, lakini kuna njia na taratibu kadhaa ambazo zinaweza kutusaidia kupata muunganiko. Mtandao huu wa omba kwanza uFuatilia siku 21 za maombinakupitisha kwenye mwongozo wa mipangilio ya maombi.
Maombi ya vita
Kabiliana na aduiWale wanao mhitaji Mungu
Shirikiana na Mungu ili kuwafikia waliopoteaOmbi la Yabesi
Kwenye 1 Nyakati 4:10Kuomba kupitia maandiko
Neno La MunguSala ya Bwana
Mtindo wa maombi aliotoa YesuMaombi Ya Kwenye Hema
Makazi ya Mungu kwenye Agano la kaleFuatilia siku 21 za maombi
kila mwezi wa Nane(Agosti) na wa kwanza(januari)

Sikiliza kwa umakini
Kaa katika maombi na kusikiliza toleo jipya la nyimbo za kuabudu kutoka kanisa la “The Highlands”, Reflections.


Njia zingine za kusikiliza
Unda ratiba yako ya maombezi



Viongozi wa makanisa
Mtandao wa omba kwanza upo bure kabisa bila malipo kwa ajili ya kanisa lako! Ni ombi letu kwamba kila mtu atafikia kiwango na makusudi mapya, nguvu mpya, na kufurahia maisha yao ya maombi.